Elevación: Hakuna Mungu (letra en kisuajili)

Hakuna mungu kama wewe (3)
Ewe mungu wangu

Coro:
Twasema asante (3)
Ewe mungu wangu

Wewe ni alfa na omega (3)
Ewe mungu wangu

Coro

Hakuna ushindi kama wako (3)
Ewe mungu wangu

Coro

Hakuna baraka kama zako (3)
Ewe mungu wangu

Coro

Ver la traducción al español aquí.

1 Comment

Publica un comentario